Programu ya biashara ya IQ Option 4.0

Kifurushi cha programu ya IQ Option imefanyiwa maboresho makubwa. Sasa ni nyepesi na zinavutia zaidi. Vipengele mbalimbali vyote vya muonekano vimejikita kwenye WebGL, teknolojia ambayo inaonyesha picha changamani na 3D kwenye kivinjari tovuti chako.

Programu rahisi kutumia kwa ajili ya ufanyaji biashara kwa uthabiti

Je, umeshawahi kuhangaika kuweka pamoja chati tisa za bidhaa zinazouzwa kwenye skrini moja? Tumelitatua tatizo hili kwa kutumia teknolojia ya Emscripten katika kituo kipya cha biashara, ambacho kinahamisha misimbo changamani kwenye programu ya kompyuta kwenda kwenye kompyuta bila kufumwa.

 

 

Maboresho makubwa kwenye muonekano kwa mtumiaji kunaifanya programu ya IQ Option ifanane na mifumo mingine ya kompyuta kwa ajili ya biashara. Sasa unaweza kuchagua kutoka kwenye dazani ya sehemu na mipangilio ya chati. Pia maboresho yanakuwezesha kuongeza na kupunguza ukubwa wa kila kivinjari peke yake.

Angalia miaka miwili ya kumbukumbu ya mipango ya bei

Je, kuna uwezekano gani wa wewe kuchanganua mipango ya bei ya biashara ikiwa huwezi kutazama data zilizopita japo za siku, wiki, au mwezi uliopita? Angalia kumbukumbu ya data za miaka miwili iliyopita kwa kutumia programu mpya. Kwa mara ya kwanza, moja ya programu bora ya biashara inakuwezesha kuchanganua mipango ya bei na kununua bidhaa kwenye window moja, pongezi ziende kwa programu mpya ya biashara ya IQ Option.

Sasa vinara vya mshumaa huonyesha data za hisa hadi za mwezi mmoja 

Uchambuzi wa kinara wa mshumaa sasa ni rahisi na ina mawanda mapana zaidi kuliko muda mwingine wowote. Kipindi kinachotumika uundaji wa vinara vya mshumaa sasa ni kuanzia sekunde tano hadi mwezi — unachagua kipimo kinachofaa kwa ajili ya biashara yako.

Achambuzi wa kiufundi wa mali umerahisishwa na viashiria vipya

Kituo cha biashara cha IQ Option sasa ni cha kitaalam zaidi na rahisi kuchanganua. Programu mpya inajumuisha mlolongo wa viashiria vipya na rahisi, pamoja na MACD, Sar ya Parabola, Osilata ya Stokasti na Osilata ya Kupendeza. Kuna uwezekano mkubwa wa uchambuzi wa kiufundi na IQ Option 4.0 kuliko wakati wowote kabla.

 

 

Mistari ya Fibonasi

Mistari saidizi na kinzani ni mistari miwili ambayo ni mashuhuri zaidi katika zana za uchambuzi zinazotumika na wafanyabiashara wanaoshughulikia hisa.  IQ Option 4.0 inaupeleka uchambuzi wa biashara katika hatua nyingine kwa kutumia mistari ya Fibonasi. Sio tu zana hii inaelezea uimara wa mwenendo kwa onyesho sahihi, pia inaonyesha viwango vya usahihi wa hisa katika njia wazi na fupi.

Chati za bar

Chati za bar (histogram) zilizosanifiwa upya kwa kiasi kikubwa imeboresha uchambuzi wa mienendo ya muda mrefu. Chati za bar za IQ Option 4.0 inachukua nafasi ndogo kuliko chati za mistari na za eneo na hutoa taarifa sawa kama vinara vya mshumaa. Kila bar inaonyesha bei-funguzi ya mali za msingi, bei kikomo na wastani wa chini na wa juu ndani ya muda husika.

Programu ya haraka ya biashara kwa Mac na Windows

Programu mpya ya IQ Option 4.0 inaweza kupakuliwa na kuwekwa kwenye kompyuta yako. Programu kwa ajili ya PC imeboreshwa zaidi kwa ajili ya Mac na Windows kwa utendaji ulio huru. IQ Option pia inatumia usanifu wa majukwaa mengine na teknolojia ya OpenGI — hakikisha kwamba utendaji kazi wa jukwaa hauathiriwi na utendaji kazi wa kompyuta yako.