Pakua App ya IQ Option

IQ Option ni programu ya viwango vya juu ambayo inamwezesha mtu kufanya kazi na zana mbalimbali za biashara mtandaoni.

Kujibu haraka data na matukio katika muda halisi kwa hakika ni muhimu pindi unapofanya biashara, hii ndio kwa sababu tukatengeneza app hii kwa ajili ya mifumo yote ya kompyuta — ikiwemo windows kwa ajili ya PC, Mac OS, iOS na Android. Tunawashauri wafanyabiashara wote kupakua app ya IQ Option ili wapate mambo mazuri kwenye biashara zao. 
Usihofu ikiwa app haipatikani kwa ajili ya kifaa chako, bado unaweza kufanya biashara kwa kutumia tovuti.

Chagua kifaa chako kupakua app ya IQ Option

Mapitio ya App ya IQ Option kwa PC
Tazama mapitio ya video ya IQ Option kwa PC, ambayo imeangazia sifa muhimu a jukwaa hili.

 

 

Kuanza kutumia jukwaa, anza kuuza na akaunti ya majaribio. Ikiwa unahisi mafunzo ya ziada yanahitajika baada ya kubadilisha akaunti kwenda akaunti halisi, unaweza kurudi kwenye akaunti ya majaribio wakati wowote.

Programu ya IQ Option ya kompyuta ni programu iliyoshinda tuzo, inasifiwa sana  na wafanyabiashara wazoefu na wapya. Lakini usisikilize maneno yetu — angalia programu hii ya biashara yenye nguvu kwa vitendo wewe mwenyewe.

Jaribu viashiria tofauti 13 vya uchambuzi wa kiufundi ambavyo vinajumuisha wastani unaosonga, MACD, Stokasti, Aligata, SAR ya Parabola na kujifunza kuvitumia kwa msaada wa video za mafunzo. Angalia chati hadi 9 kwenye skrini yako wakati huo huo. Na furahia utoaji fedha wa papo hapo kwa kutumia kadi yako ya malipo.

IQ Option ni wakala aliyepo Ulaya anayesimamiwa na CySEC. Kwa sababu za kiusalama fedha za wakala zinawekwa tofauti na fedha za wateja wetu. Wateja wote VIP wanapata msimamizi binafsi wa akaunti zao ambaye anazungumza lugha yao.

App ya Simu ya mkononi ya IQ Option kwa ajili ya iOS na Android

Programu nzuri kwa Android na iOS inawawezesha wafanyabiashara wetu wawe wameunganishwa na akaunti zao popote waendako.

Tazama video hii fupi kujua zaidi kuhusu app ya IQ Option kwa ajili ya iOS na Android.